Sheria ya Mirathi

Sheria ya Mirathi

Abuwhythum

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
837
Reaction score
495
Mimi nimeteuliwa kuwa Mrithi Mkuu katika Familia yetu, kila ndugu yangu amepewa mali yake kwa mjibu wa wosia wa Marehemu ambao uliandikwa na Maremu baba yetu enzi za uhai wake kupitia kwa Wakili. Ila baada ya miaka 11 ndugu zangu wameibuka na kupeleka mashtaka mahakamani kwa lengo la kutaka wagawane mali zangu ambazo nimeziendeleza kwa miaka 11. Izingatiwe kila mtu (mimi na ndugu zangu) alikubaliana na mgawo uliotolewa kwa kusaini na nyaraka zipo. Je kisheria kuna uhalali wa mimi kunyang'anywa mali zangu hizo???
Naomba msaada wa kisheria juu ya hili.
 
Pole sana mali ni zako hao tamaa tu sababu umejiendeleza

Ulibadili kuwa jina lako?

Msome kaka huyu au sechi blog yake zaidi kujua.

Nimekufupishia topics za mirathi ingia ufungue usome.

Pole. Angali wasikuumize jilinde pia

http://sheriayakub.blogspot.ie/search?q=Mirathi&m=1

Msome mjua sheria huyu
 
Back
Top Bottom