Sheria ya Misitu

Sheria ya Misitu

KingKacha

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
118
Reaction score
119
Nauliza , hivi mtu akikata mti wa asili bila kibali wala sababu yoyote ya msingi naweza mshitaki?

Na je? Sheria inasemaje kuhusu hili?
 
Kama huo mti unalindwa na sheria, yes, unaweza kumshitaki
 
Back
Top Bottom