Wana JF
Tafadhali nifahamisheni kwa Wa Tz wanaoishi njee ya nchi na wanataka kurudi Tz
Jee unatakiwa kuwa nje ya nchi kwa muda gani ili upate msamaha wa kodi mfano wa Gari?
Kuna rafiki yangu ambae yeye ni Mkenya amefanya kazi nje ya nchi mwaka mmoja juzi karudi Kenya karuhusiwa kuingia na gari yake
Ila amelipa kodi kidogo sana
Je sheria yetu ya kodi Tz inasemaje kuhusu hili?