Sheria ya msamaha wa kodi kwa walio nje ya nchi na wanataka kurudi Tz

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
777
Wana JF
Tafadhali nifahamisheni kwa Wa Tz wanaoishi njee ya nchi na wanataka kurudi Tz
Jee unatakiwa kuwa nje ya nchi kwa muda gani ili upate msamaha wa kodi mfano wa Gari?
Kuna rafiki yangu ambae yeye ni Mkenya amefanya kazi nje ya nchi mwaka mmoja juzi karudi Kenya karuhusiwa kuingia na gari yake
Ila amelipa kodi kidogo sana
Je sheria yetu ya kodi Tz inasemaje kuhusu hili?
 
Sasa kenya na tanzania kwa nini utolee mfano bana,
 
There is no such thing in tanzania. Labda zamani ilikuwepo sema sijawahi kusikia. Kama gari ulinunua huko nje unataka kurudi nayo make sure u come with all the papers, utakiwa kulipa kodi zote kama kawaida. Sema if ur a civil servant utapata exception ya a certain percent.
 
Au kama ni mwanafunzi na umemaliza masomo yako nje unaweza kuja na vitu vyako jumlisha gari,na harufu ya nje,ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…