Sheria ya ndoa kwa wanaoitwa watoto

Sheria ya ndoa kwa wanaoitwa watoto

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Je sheria ya ndoa tanzania inasemaje kuhusu bint chini ya miaka 18 na juu ya miaka 16 ( 16=<18 )aliefeli shule? Akiwa hana cha kufanya yafaa kuolewa? If no kwanini? Afanyeje mtaani?
 
we muoe tu
 
mpeleke hata veta akasomee hata kupika hadi akifikisha umri wa miaka 18 hapo utamuoa bila usumbufu
 
Kijijini mbona poa tu hata hizo sheria hazifuatwi
 
Umepata kitu ya aina hiyo? Kwa msaada zaidi Google Law of marriage Act.
 
Mi sio mwanasheria, ndo mana nimeomba msaada iyo law act sitaielewa
 
Je sheria ya ndoa tanzania inasemaje kuhusu bint chini ya miaka 18 na juu ya miaka 16 ( 16=<18 )aliefeli shule? Akiwa hana cha kufanya yafaa kuolewa? If no kwanini? Afanyeje mtaani?
Miaka 16 anaolewa kwa ridhaa ya wazazi wake lakni kama bado ni mwanafunzi sheria ya elimu itakukamata.Ikiwa mtoto huyu hana wazazi,mahakama yaweza kutoa idhini.
 
Back
Top Bottom