Sheria ya ndoa tanzania

Sheria ya ndoa tanzania

blacknyasu

New Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
2
Reaction score
0
Za asubuhi waungwana, hivi karbuni nilisikia kwenye radio(sikumbuki ni redio station gani)ya kwamba nchi yetu inareview sheria ya ndoa ili kuwalinda mabinti wenye umri chini ya miaka 18. Naomba kama kuna mdau yoyote mwenye link ya document ambayo naweza kuoan sheria ya ndoa ya Tanzania anipatie
Shukran
 
Google Law of Marriage Act, 1971 utapata iko kwenye mtandao
 
Ndugu,

Sheria ya ndoga ni ya mwaka 1971, kuipata log in "lexadin tanzania' utapata sheria zote unazotaka

Back
Top Bottom