Bwana Pdidy,hao ndugu zako sijui walifunga ndoa ya namna gani japo baadhi ya facts kwenye swali lako zinamiss nitakuambia.Kutengana si kuvunja ndoa watu wakitengana bado ndoa yao ipo hai,hapo ni separation tu.Na kama baada ya miezi 7 mahakama ilitengua ndoa,nashindwa kuelewa kama ilitoa talaka au ilitengua ndoa kwa maana ya kutengua,kutengua ndoa ina maana nullity of marriage,kwa maana nyingine kati ya hao watu wawili kisheria hakukua na ndoa kutokana na kukiuka taratibu fulani za kisheria,hivyo basi kama kuna nullity order ina maana wanaweza kuoana tena kwa kurekebisha makosa.Na nullity inatokana na mambo mengi likiwemo nani consumation of marriage,yaani tangu kufunwa kwa ndoa hawakuwahi kuingiliana au mmoja wao alikuwa akikataa.Kama ni talaka basi hao wameachana hakuna tena kusema swala la nakupenda tena aah,kikristo sawa hawa watu bado wanandoa hadi mmoja wao afariki lakini kiserikali ndoa kati yao haipo,japo kikristo ndoa ikitenguliwa kwa maana ya nullification hata kwenyewe hakuna ndoa. Kanisa linatambua nulity of marriage na sio divorce.Jamani Hizi Sheria Zimenifurahisha Sana ,,,kuna Swalai Nauliza Kuna Ndugu Yangu Walioana Na Mwanamke Na Baada Ya Miezi Sita Wakatengana ,,baada Ya Hapo Mwanamke Akakimbilia Mahakamani Baada Ya Miezi Saba Mahakama Ikatengua Ndoa Ile,,,baada Ya Miezi 7 Kuachana Mwanamke Anapiga Kumkumbusha Mumewe Bado Nakupenda Na Ndoa Ya Kikristo Haivunjiki,,embu Tusaidiane Kidogo Hapo Jamani
Hapo Ndoa Ipo Au Lah.,,,,,,???????????????????