andrew kisanga Member Joined Apr 27, 2013 Posts 53 Reaction score 23 Oct 11, 2013 #1 Wadau Naombeni Msaada hapa wa kupata hizi sheria za kila mfuko wa Jamii niangalie tofauti iko wapi na pia wapi ni kuzuri kwa maisha ya badaae...maana kila mfuko unajigamba sana..! Chezea maisha ya badaae ww .....fainali uzeeni
Wadau Naombeni Msaada hapa wa kupata hizi sheria za kila mfuko wa Jamii niangalie tofauti iko wapi na pia wapi ni kuzuri kwa maisha ya badaae...maana kila mfuko unajigamba sana..! Chezea maisha ya badaae ww .....fainali uzeeni