SHERIA ya SHARIA nchini SUDAN

Hii dini sijui ni kwa nini mwanamke anachukuliwa kama si kiumbe anayestahili heshima, kujaliwa na kuthaminiwa. Upuuzi mtupu, wanaume wawili in uniforms mnamshambulia binti mmoja bila hata aibu.

Gadem
 
Kibaya zaidi ni kuwa wengine wanachekelea, i wonder what that means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…