Kwa hakika ingekuwa vyema kama tungefahamu hivyo vigezo vya kuwa wajumbe wa tume hiyo na nyingine za aina hiyo.
Nimeona majina hayo kwa wenye kutazamankwa kicho la dini hawatakosa cha kupngea lakini, vigezo vingefahakika ingeiuwa jambo jema.
Juzi hapa wakiwa Arusha na akina Prof. Assad na Zitto Kabwe ilipendekezwa nafasi hozo zitangazwe na baadhi wafanyiwe usaili, lakini kinachofanyima ni tofouti.