sheria ya uhamiaji

sheria ya uhamiaji

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,673
wakuu katiba au sheria za nchi zinasemaje kuhusu raia wa nchi jirani aliyeishi na kuolewa kwa miaka mitano nchini kwetu...mdogo Wang kaoa mkenya kwa miaka mitano sasa ana kitambulisho name Cheti cha Kuzaliwa cha bongo coz Alimtafutia alipokuwa anfanya process za kuoa...juzi amepokea barua kutoka immigration office wakimtaka alipie dola 500,apeleke pasport ya mke na Cheti cha
kuzaliwa cha Mme na amepewa mwezi mmoja la sivyo wata mrudisha mke kwao Kenya....je she ria inasemaje hapa? msaada was ushauri wakuu...
N.B barua hizo zimetumwa kwa wakenya wote wanaoishi hilo eneo..
 
Back
Top Bottom