Sheria ya uhamisho

Sheria ya uhamisho

amaaso

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
31
Reaction score
1
Msaada wa sheria; Mimi nimepata uhamisho toka TAMISEMI, halafu Halmashauri haitaki kufunga data sheet mpaka ninayebadilishana naye kituo afike. Nifanyeje?
 
Maelezo yako mbona hayajtoshelezi?,unahama kutoka wapi kwenda wapi,uhamisho ni wa kuomba au ni wa direct toka Katibu Mkuu Tamisemi?
 
Back
Top Bottom