Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 | The Personal Data Protection Act of 2022

Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 | The Personal Data Protection Act of 2022

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
Sheria kwa ajili ya kuweka masharti kuhusu misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa lengo la kuweka kiwango cha chini cha matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, kuimarisha ulinzi wa taarifa binafsi zinazochakatwa na vyombo vya Serikali na vyombo binafsi, na masuala mengine yanayohusiana na hayo

Nakala zake kwa Kiswahili na Kiingereza zimeambatanishwa chini (PDF)
 

Attachments

Back
Top Bottom