Sheria ya United republic of Tanzanian

AJ 1977

New Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Habari ma great thinkers,,naswali emoji (😁) maarufu kama hiyo, kuna watu wajua kutumia bila kuandika sms ,,ikaleta maana, kukutuna,,kukutongeza mke,,mtoto au chochote cha upande wa kushawishi, kuvuka maadili, maana inchi zingine watu washatumikia kifungo,,cha 6 miezi,,sasa kwetu ikoje, tufahamishani,,mtandao uwanja uliokuwa nuunganisha watu na kuharibu zaidi, ndio maana hata kitoto cha miaka 6 kinapasswod
 
Umeandika nini wewe,ndio tatizo la kuandika ukiwa umeelemewa na usingizi
 
Subiri wamtumie mkeo ndio utajua kama hilo alafu nitume jemba utasemaje πŸ˜ͺπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ’‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…