professional skeptism
Member
- Apr 10, 2017
- 25
- 18
Kuna sheria tofauti zinazotumika kuwapandisha vyeo wahasibu kutoka daraja moja hadi jingine?, maana unaweza kukuta mhasibu mwingine anaendelea wakati wengine wengine wanaishia daraja la chini hata kama kafanya kazi miaka mingi, eg TGS E kwa sababu hawana CPA na wengine wanaendelea japokuwa hawana CPA.