JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Sep 12, 2012 #1 Wakuu, ninahitaji kuipata ili niisome kwa ukamilifu sheria ya uraia ya mwaka 1961 ya 'Tanganyika'. Tafadhali mwenye msaada wa kuipata sheria hiyo anisaidie. Nashukuru sana.
Wakuu, ninahitaji kuipata ili niisome kwa ukamilifu sheria ya uraia ya mwaka 1961 ya 'Tanganyika'. Tafadhali mwenye msaada wa kuipata sheria hiyo anisaidie. Nashukuru sana.