Emanzi JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 261 Reaction score 118 Apr 7, 2015 #1 Wakuu naomba kujua sheria inasemaje kuhusu kunywa pombe,madawa ya kulevya au kutumia kilevi chochote na ku operate chombo cha moto hasa magari? Je ni criminal au inaangukia kwenye traffic laws? Je wangapi wameshachukuliwa hatua Kisheria? TIA
Wakuu naomba kujua sheria inasemaje kuhusu kunywa pombe,madawa ya kulevya au kutumia kilevi chochote na ku operate chombo cha moto hasa magari? Je ni criminal au inaangukia kwenye traffic laws? Je wangapi wameshachukuliwa hatua Kisheria? TIA