Sheria ya Wachezaji Watano tu wa Kigeni kwa kila mechi inaenda kuua soka Tanzania

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
562
Reaction score
319
Mwakyembe bado hajasaidia tasnia ya soka hiyo sheria inakandamiza soka na inaingilia mambo ya soka.

Serikali inatakiwa iwe na mpango mkakati wa kuandaa vijana ikiwemo na kujenga vyuo vya michezo na academics kwa ajili ya kuwaandaa vijana.

Hii sheria ya wachezaji watano tu wa nje kwa kila mechi haikubaliki na tunakoeleekea Tanzania tutaporomoka zaidi kutoka kwenye nafasi nne mpaka mbili, pia tusitarajie tutafika hata fainali.

Mwakyembe yeye aandae mipango mikakati ya namna yeye atakavyosaidia soka la Tanzania ni bora kuwa na wachezaji saba wa nje ndani na wanne wa ndani na hawa wanne ni wale wenye kiwango cha juu kama Bocco
 
Nimemsikiliza nikamdharau hapo hapo.Kanuni zinapitishwa na klabu zenyewe aache kuingilia mambo ya TFF na Bodi ya ligi.
Kama ameshindwa arudi kwenye sheria.
Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
 
Umewaona mabingwa wa ulaya Liverpool ?!. Washambuliaji wote walikuwa wageni tena wa Africa wenzetu . Acheni watu washindanishe vipaji siyo siasa.
 
Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Wewe utakuwa ccm tu
 
Bongo hakuna Soka

Leo hii kwa mujibu wa Mamlaka za Nchi Mdhamini na Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa Club ya simba anatambulika Mtu anaitwa Mzee Kilomoni japo haijulikani aina ya udhamini anao dhamini Simba
 
Yuko sahii,amelenga kukuza soka la nchi yetu!
Kucontrol wachezaji wa kigeni kwa kusema et unawapromote wazawa ni uzwazwa wa kiwango cha standard gauge,ni sawa na kusema ili Ally Kiba awe juu Basi lazima tumshushe Mond chini.......Waacheni wapambane wenyewe ili mzuri aonekane Hawa wazawa kwanza wana learn from wakigeni
 
Ukweli wachezaji wetu wengi wa ndani hawajitambui....walinganishe kina Makambo,Ajib, Mkude, Kotei, Kagere n.k.
 
Serikali ya awamu ya tano imesikia kilio cha wachezaji wazawa na imelifanyia kazi ombi lao,Ccm oyeee😁😁😁😁
 
Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Wewe nae uwe unaficha ujinga wako basi wakati mwingine...nchi gani iliyoendelea kisoka duniani ambayo inatumia kanuni kama hizo alizoongea mwakyembe....ukikaa kimya wakati mwingine inasaidia kuficha madudu yaliyopo kwenye ubongo wako
 
Hahahahahaha

Back
Top Bottom