MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.Nimemsikiliza nikamdharau hapo hapo.Kanuni zinapitishwa na klabu zenyewe aache kuingilia mambo ya TFF na Bodi ya ligi.
Kama ameshindwa arudi kwenye sheria.
Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.Nimemsikiliza nikamdharau hapo hapo.Kanuni zinapitishwa na klabu zenyewe aache kuingilia mambo ya TFF na Bodi ya ligi.
Kama ameshindwa arudi kwenye sheria.
Umewaona mabingwa wa ulaya Liverpool ?!. Washambuliaji wote walikuwa wageni tena wa Africa wenzetu . Acheni watu washindanishe vipaji siyo siasa.Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Wewe utakuwa ccm tuHuna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Siasa, hasa za kijamaa haijengi soka bali inaibomoa soka. Fanya utafitiYuko sahii,amelenga kukuza soka la nchi yetu!
CCM unategemea aweje sasa. Kama kwenye carrier yake yenyewe ni zero
Kucontrol wachezaji wa kigeni kwa kusema et unawapromote wazawa ni uzwazwa wa kiwango cha standard gauge,ni sawa na kusema ili Ally Kiba awe juu Basi lazima tumshushe Mond chini.......Waacheni wapambane wenyewe ili mzuri aonekane Hawa wazawa kwanza wana learn from wakigeniYuko sahii,amelenga kukuza soka la nchi yetu!
Je mchezaji mzawa akipewa nafasi ana toa matokeo?Huna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Yuko sahii,amelenga kukuza soka la nchi yetu!
HahahahaSerikali ya awamu ya tano imesikia kilio cha wachezaji wazawa na imelifanyia kazi ombi lao,Ccm oyeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe nae uwe unaficha ujinga wako basi wakati mwingine...nchi gani iliyoendelea kisoka duniani ambayo inatumia kanuni kama hizo alizoongea mwakyembe....ukikaa kimya wakati mwingine inasaidia kuficha madudu yaliyopo kwenye ubongo wakoHuna uwezo wa kimzuia Waziri wewe hiyo ni Serikali,Wachezaji wa kigeni wanaua Vipaji vya wachezaji wa ndani ,unakuta klabu inapanga washambuliaji wote wa kigeni lini mshambuliaji mzawa ataibuka mfungaji bora na akaisaidia Timu ya Taifa?Tuache kuthamini wachezaji wa nje.
Wewe nae uwe unaficha ujinga wako basi wakati mwingine...nchi gani iliyoendelea kisoka duniani ambayo inatumia kanuni kama hizo alizoongea mwakyembe....ukikaa kimya wakati mwingine inasaidia kuficha madudu yaliyopo kwenye ubongo wako