Hello wana JF,
Naomba yeyote aliyebahatika kupata sheria ya watoto iliyopitshwa mwaka jana anisaidie tafadhali.Nimejaribu kutafuta kwenye web ya Bunge haipatikani.

Nakutumia original bill iliofikishwa bungeni. Final output haijabadilika sana. Sinayo kwa sasa kwa sababu rais bado hajaisaini. Akiisini tu nitakutumia.