Sheria za barabaran tanzania-please help

Sheria za barabaran tanzania-please help

kisu2

New Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4
Reaction score
1
wana jf kwanza polen kwa msiba uliotufika wa ndugu yetu sajuki.

Kwa heshima na taadhma naomba mtu yeyote aliye na andiko/dodoso lenye sheria za barabaran anisaidie kwani nahitaji kuzisoma ili napokuwa barabaran niwe well informed.

Asanten natumai nitasaidiwa.

Nawatakien usiku mwema!
 
Ni matumaini yangu ukirudi kwenye darasa la udereva itakusaidia zaidi ya dodoso unazoomba. Wiki mbili tu utafunguka. Kumbuka tu kwamba wanaozisimamia na kutafsiri kwa vitendo sheria husika bado wapo likizo ndefu na malipo. Jikinge, usiamini sheria inasemaje. Nakutakia kila la heri 2013.
 
Bush Drivers hawa, ndo mana kila kukicha maajali!
 
Naamini kwamba unachohitaji ni kanuni za matumizi na tafsiri za alama za barabarani na sio sheria (kuna tofauti kubwa hapo). Kama alivyoshauri O-man hapo juu ni vyema ukaenda shule ya udereva. Pia kuna vijitabu vyenye alama na tafsiri zake huwa zinauzwa kwenye maduka ya vitabu.
 
Back
Top Bottom