SHERIA ZA BARABARANI NA MATATIZO YAKE.

perfect hunter

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
153
Reaction score
94
Habari za muda huu wana-JF.

Nimekaa nikakumbuka baadhi ya matatizo ambayo madereva huwa tunakutananayo barabarani tukiwa tunatumia vyombo vyetu vya usafiri.
Itakuwa vyema endapo kila mdau atatoa tatizo ambalo anaona halipo sawa kulingana na adhabu(fine) ya kosa au sehemu ambapo sheria za barabarani zinaonekana kuwa na dosari au kutokukidhi mahitaji kutokana na ongezeko la vyombo vya usafiri.
Nadhan wadau wapo wengi hvyo tutabadilishana elimu na hii itatusaidia pale tunapoonewa au pale itakapohitajika tutoe maoni ili sheria ziweze kubadilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…