K kibiasharazaidi Member Joined Mar 15, 2013 Posts 17 Reaction score 7 Mar 21, 2013 #1 Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?
Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?