dah, mkuu we kua mpole tu maana kuishtaki ni sawa na kunyang'anyana kisu na serikali ilhali wewe umeshika makali!.
hua kuna mapungufu mengi sana kwenye taasisi za serikali katika kutoa huduma kwa mwananchi kisheria.
mfano kisheria ni kosa kuchelewa kulipa bili ya umeme tanesko, lakini wao wakikata umeme au mgao sheria haisemi kwamba ni kosa na wanapaswa kuwajibishwa.
maoni yangu tu, sijui mambo ya sheria.