Tumewanyoosha au wewe hujakisikia kidude huko kwako?. Hebu jiangalie itakuwa....πSimba walivyofanyiwa hivi pale taifa mlifurahia kengebluuu....mnyooshwe tu
Unashindaje kwa mkapa kwa mfano?Sijui majitu ya utopolo yapoje nyie kina nani bhana?? Mngetaka hayo yasitokee mngeshinda 4 kwa mkapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?? Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
Bana na wewe kama unazo.Unashindaje kwa mkapa kwa mfano?
Na kuna simba wanabana pumbu dakika 90?
Sawa kabisa, yaani ni aibu sana Kwa CAF, mpira unasimamishwa dakika kadhaa kisa Moshi ni HATARI sana.Kwa hili hata mie nakuunga mkono, ule ni upumbavuu kabisaa, moshi na barutii, pia zile mshumaa za umeme...
Tuandaee vizuri timu zetu kwa hii michuano, Tp Mazembe aliwapiga na figisu zao na kutwaa kombe (kabeba mara 5).Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.
Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
Hata hivyo refa kajitahidi sana ila ndio hivyo mcheza kwao hutumzwa,Yanga ijipange tuu next time..Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.
Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
Na yule aliyemshangilia kaizer chief tumwiteje?Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
Inawezekana ile adhabu aliyopewa Yanga ilikuwa na harufu ya hujuma ndani yake. All in all, nawapongeza kwa kuwavua nguo hao Waarabu na CAF yao.Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.
Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
Yanga mbona nayo ilipigwq mbele ya maelfu ya mashabiki waoInawezekana ile adhabu aliyopewa Yanga ilikuwa na harufu ya hujuma ndani yake. All in all, nawapongeza kwa kuwavua nguo hao Waarabu na CAF yao.
Maana wamechukua kombe huku wakiwa wamevaa mabendeji kichwani kutokana na kipigo kitakatifu mbele ya maelfu ya mashabiki wao.
Umeelewa lakini nilichoandika? Au umekimbilia tu kuni quote!Yanga mbona nayo ilipigwq mbele ya maelfu ya mashabiki wao
Wewe inajisifu kumfunga mtu kwao wakati yeye pia alikufunga kwako goli nyingi zaidi?Umeelewa lakini nilichoandika? Au umekimbilia tu kuni quote!
Unaonekana wewe ndo umevamia mpira ukubwani au labda huelewi! Sawa, hata hao Al Ahly na Wydad watapiga mafataki kwa fujo zote lakini je, na wenyewe wataadhibiwa kama ambavyo Yanga waliadhibiwa au hizo adhabu ni kwa wengine tu?!Tatizo la kuangalia mechi kwa kushtukiza
Hebu tizama mechi kati ya al ahly na wydad kesho huko Cairo utajionea mengi
Tatizo la kuvamia mpira ukubwani
Kosa la USM Alger ni nini kwani?
Hoja n kwamba, na wenyewe huwa wanaadhibiwa kwa kupiga hayo mafataki kama ambavyo waliadhibiwa Yanga?!Vipi haya uliyaona na kwa Raja na Wydad casablanca au umeona leo tu?