Sheria za jeshi za kumpigia saluti mtu ziwe na uwiano sawa na mtu anayestahili sio mnapigia saluti mpaka asiyestahili.
Sheria za kupigia saluti mtu zinazingatiwa zaidi kuliko za yule anayestahili basi sheria hizi za saluti zinakuwa hazina maana kwanini zinazingatiwa hata kwa mtu haramu?
Kwani nani ambaye hajui Samia anapaswa kukamatwa, amefumbia macho mauaji ya watanzania wengi sana, hastahili saluti ni muhalifu.