Mke wangu ameajiriwa kampuni moja hapa Dar, mwajiri anaiendesha atakavyo. Haya ni baadhi ya mapungufu:
1) Hamna mikataba ya kazi inayotolewa
2) malipo ni kiduchu mno na Hakuna makato ya kodi (kwa mishahara inayofkia viwango vya kukatwa) wala pensheni
3) Wanafanyishwa kazi zaidi ya masaa ya kawaida bila ya malipo ya ziada hadi Jumamosi
4) Hamna Public Holiday kwny kampuni hiyo na hakuna malipo yoyote ya ziada ktk siku hizo.
Waajiriwa wanaogopa kuuliza kwa menejiment ya kampuni wakihofia kupoteza vibarua vyao.
Imefikia hatua sasa wameambiwa waende hadi Jumapili.
Wakuu kinachoniuma mke wangu ananyonyesha mtoto wa miezi 11 akirudi usiku amechoka hata haki yangu ya ndoa anaona kero kunipa, je naweza kuingilia kati nikaripoti tatizo hili kwa vyombo vya sheria bila kuathiri vibarua vya wahusika? Naombeni msaada wenu wakuu.