Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 724
- 554
Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+ overtime bila malipo yyte....wakat huo huo kikipotea chochote hata daftar mfanyakaz utalipa.......mfanyakaz anafukuzwa kiholela tu bila chochote.....je huyu mfanyakaz analindwa vp na sheria?