Mbali na sheria ninachokiona hapo niwatu kuingia katika ajira zisizofwata utaratibu wa mikataba kutokana na njaa.Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+ overtime bila malipo yyte....wakat huo huo kikipotea chochote hata daftar mfanyakaz utalipa.......mfanyakaz anafukuzwa kiholela tu bila chochote.....je huyu mfanyakaz analindwa vp na sheria?
Hapa pia naweza sema kuwa pa1 na njaa ni kwamba Serikali ytu haijawa serious juu ya ufuatiliaji wa hiz kampuni zinazotumikisha watu kwasabab ya njaa zao....serikali ina wajib wa kutetea wananchi wake hasa kwa maswala kama haya ...cha ajab ni rushwa zinatolewa kwA viombo vinavyofuatilia na kusimamia sheria za kaz ktk maeneo hayo......Mbali na sheria ninachokiona hapo niwatu kuingia katika ajira zisizofwata utaratibu wa mikataba kutokana na njaa.
Sheria ya ajira inapinga mtu kufanyishwa kazi bila mkataba. Mkataba ndio silahaa ya mwajiriwa na mwajiri pia, mkataba unapaswa kuwa wamaandishi na uendane na vigezo vyote vya sheria ya kazi, kama kulipwa mshara unaopaswa na kwa wakati, kuwekewa mafao, kupewa bima yaafya, kulipwa overtime nk.
Kama MTU amefukuzwa kazi milango tume ya usuluhishi ya migogoro mahala pakazi ipo na inawasaidia wafanyakazi mahali popote nchini mfanyakazi akiona ameonewa afike ili kupata hakiyake. NB: Haki inatafutwa
Sehemu yakufikisha malalamiko yako ni tume ya upatanishi na usuluhishi wa migogoro ya wafanyakazi (CMA). Hapo ndipo sehemu sahihi yakupata msaadaHapa pia naweza sema kuwa pa1 na njaa ni kwamba Serikali ytu haijawa serious juu ya ufuatiliaji wa hiz kampuni zinazotumikisha watu kwasabab ya njaa zao....serikali ina wajib wa kutetea wananchi wake hasa kwa maswala kama haya ...cha ajab ni rushwa zinatolewa kwA viombo vinavyofuatilia na kusimamia sheria za kaz ktk maeneo hayo......
Hebu nisaidie wap niripot na hatia zchukuliwe ili wafanyakaz waokoke hcho kifungo
Kuna kitu kinaitwa dhana yakuajiriwa (presumption of employment). Hii itakusaidi kupata hakiyako hatakama huna mkataba wa ajira. Chamsingi uwe naushahidi wakuthibitisha uwepo wa utendajikaziwako katika taasisi au mahala husika.Bila mkataba wa kazi, kazi ipo...
Wafanyakazi wengi wa taasisi binafsi wanapewa mikataba ambayo haiendani na matakwa ya sheria ya ajira, mfano mishahara wanayolipwa lakini hawanauwezo wakufika katika vyombe vinavyohusika nakuwasilisha malalamiko yao.Hapa pia naweza sema kuwa pa1 na njaa ni kwamba Serikali ytu haijawa serious juu ya ufuatiliaji wa hiz kampuni zinazotumikisha watu kwasabab ya njaa zao....serikali ina wajib wa kutetea wananchi wake hasa kwa maswala kama haya ...cha ajab ni rushwa zinatolewa kwA viombo vinavyofuatilia na kusimamia sheria za kaz ktk maeneo hayo......
Hebu nisaidie wap niripot na hatia zchukuliwe ili wafanyakaz waokoke hcho kifungo
Sheria ya Ajira,Kazi na Mahuasiano Kazini na Kanuni zake inamlinda vyema mfanyakazi na muajiri.Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+ overtime bila malipo yyte....wakat huo huo kikipotea chochote hata daftar mfanyakaz utalipa.......mfanyakaz anafukuzwa kiholela tu bila chochote.....je huyu mfanyakaz analindwa vp na sheria?