Nimefanya kazi kampuni moja wa wahindi tangu mwezi wa tatu mwaka 2006 hadi November 30 mwaka huu kwa kipindi chote hicho sikuajiriwa wala kukatiwa NSSF Leo,,kwa sasa wameniachisha kazi,,je naweza kudai Haki zangu za zaidi ya miaka 11 na miezi 8 niliyofanya kazi pale,, au kisheria inakuaje hapo??,,,naombaleni ushauri wa kisheria kwa anayefahamu