Sheria za kazi

Sheria za kazi

Hassad

Member
Joined
Jul 19, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Mm ni miongon mwa wafanyakaz katika kampun binafsi ya usalama(ulinzi)maarufu inaitwa Kk security company.
Kuna madai kwamba kampuni imeingia ubia na kampun ya kigen kutoka Canada inaitwa gurdaworld 2016 hii kampun kipind inamadai ya gurdaword inamadai inataka kubadilisha nembo ya kampun na teyar process zimeshaanza kwnye magar mabango na uniform imechapishwa nembo ya gurdworld lakin July 25 nd itaanza kutumika na wala tujahusishwa na mkataba mpya.
Kampun ya guardworld inadai masuala ya malipo kw wateja itatumia jina la gurdworld na masuala ya utambulisho,kisheria,huduma za kibenk na masuala ya ulipwaj Kod litatumika jina la Kk security kampan.hoja yng hpa sielew staik zetu kama likizizo kinua mgongo na mengine ambayo siyajui ahsnten kw kusoma kw makin hoja hii na kunifanyia msaada wenu wataalam hpo chini kuna doccument inaeleza kila kitu natumain mtafafanua kiundan
IMG_20190718_233438_8.jpeg
 
Wewe una hofu tu isiyokuwa na mashiko. Hayo ni makampuni yameingia ubia tu kwa maana hiyo kampuni lililo waajiri bado lipo kwa kusaidiana na hili jipya.

Hata hivyo kwenye vikao vyenu mnaweza kuuliza na kupewa ufafanuzi wa kuhakikishiwa usalama wa haki zenu.
 
Back
Top Bottom