sheria za kazi

siasia

New Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
1
Reaction score
1
wadau habari za majukumu naombeni mnisaidie kujua kisheria mtu anapofukuzwa kazi kutokana na kosa la kuajiriwa na mtu au kampuni nyingine wakati nimesimamishwa kazi na muajiri wangu wa zamani ila nikiwa napokea nusu mshahara toka kwa muajiri huyo wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…