Sheria za Kodi kwa Tanzania sijui aliwekewa Mtanzania gani

Sheria za Kodi kwa Tanzania sijui aliwekewa Mtanzania gani

mr c

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
47
Reaction score
55
Habarini

Kiufupi kodi sio rafiki kwa Mtanzania leo ukitaga kuagiza ka gari used mfano ist ni mil 16,wakati ilikua mil 10 sawa rates imepanda na mafuta yamepanda je mlichukua hatua gani ku balance isifike kiasi hicho?

  • Import duty %25
  • Excise duty for aged vehicles %30
  • Vat %18
  • Railway development levy %1.5

Je, hizi % kuna ugumu gani kuzipunguza hata iwe kwa mpito tu kubalance Dunia iliyoyapitia?

Mnaongoza Binaadam jamani na nachoamini mimi kiongozi ni mtu mwenye maono na kuongoza kutokana na hali inavyokua je mnadhani milioni 6 iliyozidi itabalansiwa na mshahara au posho ? Na hiyo kiuchumi imekaaje?

Leo ukitoa Container unalipa kodi hadi mil 37 bado ukiuza kwa EFD unalipa kodi za ndani hadi mil 8 bado % 3 ya Jiji dhida ya mauzo yako,bado hujalipa frem

Au kwa sababu nyinyi mna msamaha wa kodi ndio maana hili hamliwazii wala hamlifikirii

Natanguliza shukran za dhati
 
Habarini

Kiufupi kodi sio rafiki kwa Mtanzania leo ukitaga kuagiza ka gari used mfano ist ni mil 16,wakati ilikua mil 10 sawa rates imepanda na mafuta yamepanda je mlichukua hatua gani ku balance isifike kiasi hicho...
Aliziweka kinana na Kikwete ila wao wanatumia meli zenye bendera ya Tanzania kukacha haya

USSR
 
Kodi zenyewe zote wanakula tu hamna lolote la maana wanalofanya
 
Back
Top Bottom