Habari wana jamvini. Kuna wachina wana kampuni ya kuuza vifaa vya solar (umeme wa nguvu ya jua) wanataka kuja kuwekeza katika vijiji vya tanzania. Kwa mwenye uzoefu na hii industry hapa kwetu, sheria zake ziko vipi, kwa maana ya vigezogani mwekezaji anatakiwa awe navyo?