Asante kwa kunipa mwanga mkuu. Ila nimeshangaa sana kusikia kuwa kutoka Zanzibar kuja bara unalipa pia. Nilikuwa sijui hiloMie sijui zaidi mkuu
Ila naona wa South Africa wanakuja nazo sana gari zao na Pikipiki zao kama overland trucks and bikes
Na kenya pia wanakuja nazo sana ila kwa kibali cha muda mfupi sana.
Kwa mwaka mmoja labda upate kwa upande wa Diplomatic ila kama ni gari binafsi mwaka ni mkubwa sana.Maaana kuna Kodi za Nchi sijui utazilipia kwa mfumo upi.
Kwenye kubadilisha number kuwa kama za Tz ni sawa na kuagiza gari,lazima ulipe kodi za kuingiza gari nchini,maana ingekuwa hivyo basi hata Kutoka Zanzibar tu kuja Dar watu wasingelipa Kodi,we chukua mfano,Zanzibar unaweza kununua Noah imeyotumika hapa kwa 7m ila Tax difference na usafiri na kodi nyingine ina cost more 3m,hapo unaweza kuvuta picha kwamba huwezi kuingiza gari bure
Subiri watakuja wajuzi zaidi.
Mie sijui zaidi mkuu

Zanzibar ni nchi nyingine, hujui muungano wetu ni jipu?Asante kwa kunipa mwanga mkuu. Ila nimeshangaa sana kusikia kuwa kutoka Zanzibar kuja bara unalipa pia. Nilikuwa sijui hilo
Ila balaa lake kuivusha katika hayo maji, ndio balaa mpaka unajutavitu zanzibar bei rahisi sana nimeona pikpik zle kubwa za kucndikiza msafara honda cbx 750 et kwa mil 4.5 had nimeshangaa