Sheria za michezo ya Netball na Volleyball.

Sheria za michezo ya Netball na Volleyball.

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
486
Reaction score
168
Habari,

Naomba mwenye kufahamu sheria za nichezo ya netball(mpira wa Pete) na volleyball (mpira wa wavu) zenye tafsiri ya kiswahili anipatie ambayo inatumika hapa kwetu Tanzania. Ikiwemo pamoja na vipimo vya viwanja na majina ya nafasi za wachezaji.
 
Back
Top Bottom