Jimjuls JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 486 Reaction score 168 Sep 8, 2013 #1 Habari, Naomba mwenye kufahamu sheria za nichezo ya netball(mpira wa Pete) na volleyball (mpira wa wavu) zenye tafsiri ya kiswahili anipatie ambayo inatumika hapa kwetu Tanzania. Ikiwemo pamoja na vipimo vya viwanja na majina ya nafasi za wachezaji.
Habari, Naomba mwenye kufahamu sheria za nichezo ya netball(mpira wa Pete) na volleyball (mpira wa wavu) zenye tafsiri ya kiswahili anipatie ambayo inatumika hapa kwetu Tanzania. Ikiwemo pamoja na vipimo vya viwanja na majina ya nafasi za wachezaji.
kakakuonana JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 338 Reaction score 61 Mar 20, 2018 #2 Duh nimekuta hamna majibu hapa
chilumendo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,550 Mar 21, 2018 #3 ukipatiwa unitag nami nazihitaji sana