johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Je Sheria zinaruhusu Uchaguzi kufanyika Usiku wa manane?
Naomba Ufafanuzi tafadhali
Naomba Ufafanuzi tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Sheria za CCM zinakataza maana wengine Huwa wanakuwa tayari viringeni!!
Ingekuwa CCM mchana ule ule Mshindi angepatikanaMmi nlitegemea ilipo fika saa 12 jioni mshindi amesha patikana ……. Wooi
wakati wa mchakato wa kumpata jiwe mwaka 2015 kuwa mgombea wenu mbogamboga, ulikuwa na miaka mingapi?Je Sheria zinaruhusu Uchaguzi kufanyika Usiku wa manane?
Naomba Ufafanuzi tafadhali
Hahaha kwasababu ccm huwa hakuna uchaguzi, mwenyekiti anajipendekeza halafu ana wauliza kama mmeridhia aendelee na awe mgombea wa urais, mnaitikia kwa kishindo, ndiyoooo.Ingekuwa CCM mchana ule ule Mshindi angepatikana