Sheria za ndoa Afrika zinatubeba wanaume, nitaendelea kuoa na kuacha kila nikijisikia

Sheria za ndoa Afrika zinatubeba wanaume, nitaendelea kuoa na kuacha kila nikijisikia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America?

Kama ni africa mnazingua.

Sheria za wenzetu zinawabeba wanawake,mkiachana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake.

Ewe kidume rijali tUmia mapungufu ya sheria hizi kuoa na kuacha kadri uwezavyo kabla hazijabadilishwa.

Oa leo akizingua piga chini aondoke na madera yake tu
 
Ewaaaaaa
20250207_111934.jpg
 
Mnaopinga ndoa mnaishi ulaya au America?
Kama ni africa mnazingua.
Sheeia za wenzetu zinawabeba wanawake,mjiaxhana ni pasu kwa pasu,lakini sheria zetu zinawakandamiza wanawake.
Ewe kidume rijali tUmia mapungufu ya sheeia hizi kuoa na kuacha kadri uwezavyo kabla hazijabadilishwa.
Oa leo akizingua piga chini aondoke na madera yake tu

Wahanga au Waathirika wa Sheria za ndoa mara nyingi sana huwa ni wale Watu ambao Wana upeo Mdogo Sana wa kufikiri. Hao ndio Waathirika wakubwa zaidi wa Sheria za ndoa.
Kuna Ukweli mchungu Sana kuhusiana na msemo huu wa Wajinga ndio waliwao!

Hata huko kwenye Nchi za ughaibuni, kuna suala la Pre-nuptial Contract kwa Wanandoa ili kudhibiti suala la Utapeli wa Mali kupitia Ndoa za Kitapeli
 
Yani bongo mwanaume ukilalamikia ndoa we ndo mwenye shida! Unaweza kupiga chini kila mwezi na kuanza upya na hamna wa kukufanya lolote, labda uchawi tu kama unauamini
 
Wahanga au Waathirika wa Sheria za ndoa mara nyingi sana huwa ni wale Watu ambao Wana upeo Mdogo Sana wa kufikiri. Hao ndio Waathirika wakubwa zaidi wa Sheria za ndoa.
Kuna Ukweli mchungu Sana kuhusiana na msemo huu wa Wajinga ndio waliwao!

Hata huko kwenye Nchi za ughaibuni, kuna suala la Pre-nuptial Contract kwa Wanandoa ili kudhibiti suala la Utapeli wa Mali kupitia Ndoa za Kitapeli
Hii nayo ina loophole [emoji23][emoji23] watasema ali sign under duress
 
Hamna hata kusubiri, eti watu watasema mie ndio tatizo, unatoka leo ndani ya mwezi nafasi ishazibwa na yeyote aseme anavyotaka hamna kuremba!
 
Ukiachana na sheria za ndoa, mwanaume kulizwa na mwanamke ni uzwazwa
 
Back
Top Bottom