Sheria za Red Card Ulaya

Sheria za Red Card Ulaya

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Wapendwa naombeni kujua kwa wale wazoefu.

Hivi mchezaji wa ligi ya uingereza EPL akipata kadi nyekundu akiwa kwenye mechi ya ligi ya ndani kadi inaweza kumfanya asicheze next matches mfano za FA, UEFA, carabao au itamfanya asicheze mechi tatu za ligi tu kwakuwa kadi hiyo ameipata akiwa kwenye mechi za ligi?

Na kama next mechi baada ya kadi ni ya mfano FA atacheza kama kawaida?
 
Kwa karabao sina uhakika ila Epl na Fa hachezi
 
Ukipata card kwenye mechi ya ligi hutocheza mechi za ligi na FA CUP, sheria za ligi haziingiliani na UEFA kwahiyo mchezaji atacheza mechi za UEFA kama kawaida
 
Back
Top Bottom