Sheria za Uchaguzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi

AljuniorTz

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2009
Posts
544
Reaction score
18
Naomba sana kwa wale wenye uwezo wa kuzipata na watuwekee humu jamvini sheria za uchaguzi za tume ya taifa ya uchaguzi ili tuzijue na pia tuongeze upeo wa kuzifahamu sheria hizo.

Itatusaidia kupunguza malalamiko mbali mbali kuhusiana na taratibu za Uchaguzi hapa nchini.

Nawasilisha
 

Mdau ameomba kupatikana kwa sheria za uchaguzi nchini TZ. Hapa nawakilisha sheria hizi. Ifahamike kuwa sheria kuu ya nchi ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,1977. Hivyo basi hata katika mambo ya elections tunaanza na sheria mama( yaani Katiba) ambayo inatoa mwongozo wa jumla juu ya mambo yote ikiwamo uchaguzi.

Nawakilisha kama ifuatavyo:


THE NATIONAL ELECTORAL RELATED LAWS IN TANZANIA
  • The Constitution of the United Republic of Tanzania (1977)
  • Elections Act No. 1 of 1985
  • The Electoral Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2005 (Act No. 3/05) 2005
  • The Electoral Laws (Miscellaneous Amendments) Act , 2004 - (Act No.13/04) 2004

Related Laws
  • The Local Authorities (Elections) Act No. 4 of 1979
  • The Local Government (District) Authorities Act (No. 7 of 1982)
  • The Local Government (Urban) Authorities Act (No. 8 of 1982)
 

Attachments

Mkuu shukrani.This is very helpful to me as well
 
Kiongozi asante sana ,





 

huu uzi unafaa kwa mwaka huu
 
Imekuwa ni tatizo na gumzo la kila siku katika vyombo vya usafiri, majukwaa ya kisiasa, mitaani, katika maeneo ya biashara, kumbi za starehe, maeneo ya michezo, mashuleni na katika vyuo. gumzo lenyewe linahusiana na hatua za kusimama toka ilipo kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga kura. Jana, 14.10.2015 nilikuwa katika basi moja la abiria nasafiri kutoka Arusha kuelekea Dsm. Nikiwa kwenye basi hilo, abiria walianza kujadili ukweli kuhusu hatua hizo. katika kuchuja mawazo yao, niliweza kujua kuwa wengi wao wanajua ni mita mia moja. Ili kuondoa utata huu, Je sheria inasemaje? siku moja nilimsikia mwanasheria mmoja katika mdahalo akisema, sheria inasema mita 200 na wala haitamki mita 100. sasa hii mita 100 inatoka au watu wameitoa wapi? tuachana na hilo, sote tusome sheria hiyo ya uchaguzi tujionee ni mita 100 au 200. tuache kulumbana pasipo kujua. Na kama ndivyo, kuna vituo vingine huwezi kupata hizo mita hata 100. je tusimame wapi? ni vyema tuutafute huo ukweli ili ukweli huo utuweke huru.
 

mh! mbona imeandkwa kwa kiingereza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…