SoC02 Sheria za Urithi wa Kimila na ukandamizwaji wa Haki za Wanawake nchini Tanzania

SoC02 Sheria za Urithi wa Kimila na ukandamizwaji wa Haki za Wanawake nchini Tanzania

Stories of Change - 2022 Competition

Temera 1997

New Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Mpenzi msomaji wa makala hii, imekuwa ni kawaida sana katika sheria za kimila, pindi mume anapofariki mke au wake watakaobaki hai katika familia hiyo kutofaidika kwa chochote katika mali wakizochuma.

Nchini Tanzania, sheria za kimila hazimpi nafasi Mwanamke haki ya kurithi mali wakizochuma.

Wakati huo huo, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema, kila mtu ana haki ya kumiliki mali. Na, ikitokea sheria yoyote inakinzana na katiba basi sheria hiyo itakuwa Null and Void.

Ushauri wangu;
Sheria hiyo ya kimila ifutwe au ifanyiwe mabadiliko ili mwanamke au wanawake wapate Haki zao za kumiliki mali kama katiba inavyotaka.

Kwa mawasiliano zaidi,
Simu: 0687110171.
E-mail address: amiritemera@gmail.com
 
Upvote 0
Back
Top Bottom