K kinyanyamba Member Joined Apr 10, 2012 Posts 96 Reaction score 13 Nov 16, 2012 #1 naomba yeyote anayezifahamu sheria za usalama barabarani tanzania anijuze,maana nimeangalia katika mtandao sijaona kitu cha maana. je zipo wazi ama zinafichwa? ili ulaji uendelee?
naomba yeyote anayezifahamu sheria za usalama barabarani tanzania anijuze,maana nimeangalia katika mtandao sijaona kitu cha maana. je zipo wazi ama zinafichwa? ili ulaji uendelee?
P Pragmatist Member Joined Sep 21, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Nov 18, 2012 #2 Angalia tovuti ya Bunge (Parliament.go.tz) kwenye Publications/Acts soma Road Traffic Act, 1973 na tovuti ya Sumatra utapata.
Angalia tovuti ya Bunge (Parliament.go.tz) kwenye Publications/Acts soma Road Traffic Act, 1973 na tovuti ya Sumatra utapata.