Sheria za utumishi

Sheria za utumishi

Lingulasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
565
Reaction score
78
Wana JF naomba kujua sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi kutembea na mke wa mtumishi mwenzake kimapenzi huku wakifanya kazi ofisi moja mf walimu shule moja ofisi moja?
 
Back
Top Bottom