L Lingulasi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 565 Reaction score 78 Sep 9, 2012 #1 Wana JF naomba kujua sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi kutembea na mke wa mtumishi mwenzake kimapenzi huku wakifanya kazi ofisi moja mf walimu shule moja ofisi moja?
Wana JF naomba kujua sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi kutembea na mke wa mtumishi mwenzake kimapenzi huku wakifanya kazi ofisi moja mf walimu shule moja ofisi moja?