Sheria zainazowapa Viongozi fulani mamlaka ya kuweka mtu ndani/kizuizini

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Nimeshuhudia Maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata Wakiamuru watu wanao kisiwa kuwa wavunja amani kuwekwa ndani,hata kwa wiki kadhaa kabla ya kufikishwa mahakamani!
Hata Wakuu wa Wilaya na Mikoa nao,mfano,pake Makonda alipo amuru Kubenea atiwe ndani!
Na mwisho kabisa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri nao nimesoma sehemu kwenye gazeti kuwa anao uwezo wa kumweka mtu kizuizi,ila halikutaja ni Sheria gani iliyo mpa mamlaka hayo!
Naomba kufundishwa Sheria zinazo wapa mamlaka haya watu hawa!
 
Hawa watu uliowataja hapo juu wanaitwa "justices of the peace". Wapo pia mahakimu ambao hukuwataja. Wanapewa mamlaka hayo chini ya vifungu vya (sections) 51 na 53 ya Magistrate Courts Act. Inawezekana kuna sheria zingine ila kwa haraka haraka najua hiyo sheria
 
asante,ni mahakimu wote au kuna ngazi fulani ndio wenye mamlaka hayo!?
 
The MCA haiwahusu wakurugenzi wala watendaji, bali inawapa mamlaka mahakimu tu, I stand to be corrected!
 
The MCA haiwahusu wakurugenzi wala watendaji, bali inawapa mamlaka mahakimu tu, I stand to be corrected!
ok,sasa na sheria inayo wa ma w.e.o/v.e.o mamlaka ya kumtia mtu ndani ni ipi?
 
The MCA haiwahusu wakurugenzi wala watendaji, bali inawapa mamlaka mahakimu tu, I stand to be corrected!
Hili lipo wazi hatupaswi kubishana. Raad section 52 of MCA. Mahakimu wametajwa expressly under section 59 of MCA. Kuna kesi nyingi katika hili sema nipo safarini ningezitupia hapa.
 
Hili lipo wazi hatupaswi kubishana. Raad section 52 of MCA. Mahakimu wametajwa expressly under section 59 of MCA. Kuna kesi nyingi katika hili sema nipo safarini ningezitupia hapa.
Ungesoma comment yangu kwa makini wala usingepoteza muda wako kubishana na mimi!
 
Naomba anaye fahamu vifungu vinavyo onesha mamlaka ya v.e.o na w.e.o anisaidie
 
ikiwa hawa watajwa wanauwezo kisheria wa kumuweka mtu ndani - je ni kwa muda gani kabla hawajamfikisha mahakamani ? najua kuna muda maalum ambao aliewekwa ndani au aachiwe au apelekwe mahakamani kuomba awekwe ndani kwa muda ziada mpaka uchunguzi uishe
 
acha tusubirie majibu
 
TZ viongoz wanajifanya miungu watu...
kuna rais mmoja alikuwa akiitwa mh.mtukufu prof/dkt/.rais ...jino hadi gego linaonekana....
watawaitwa hadi watakatifu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…