serengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 488
- 362
Ndg wana JF kumekuwa na wimbi kubwa la wafanyakazi serikalini kukimbilia kugombea nafasi mbalimabali katika vyama huku wakitumikia majukumu yao serikalini, mfano chaguzi za vyama zinazoendelea , wafanyakazi wengi wameomba kugombea katika nafasi mbalimbali katika chama (CCM) hasa walimu, je? sheria za nchi zinaruhusu kugombea au hadi kupata kibali toka kwa mwajiri?naomba ufafanuzi wa kisheria wakuu.