Sheria zetu zinasemaje kuhusu mwanandoa kutopewa tendo na mwenza?

Sheria zetu zinasemaje kuhusu mwanandoa kutopewa tendo na mwenza?

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Hebu msikilize huyu mama (dada) anasema hapewi tendo sababu mume anarudi hoi - Je sheria ya ndoa inasemaje? ana haki ya kufungua kesi ya madai?
 

Attachments

  • VID-20190820-WA0016.mp4
    7.7 MB
Sheria aisemi Wana ndoa wafanye hilo tendo Mara ngapi kwa siku,wiki,mwezi au mwaka.
lakini kunyimwa tendo la ndoa bila sababu za msingi ni unyanyasaji na ukatili (cruelity)

Je upendo bado upo, mnapendana???
 
Yeye huyo katumia jitahada zipi kulipata hilo tendo au kumsaidia mumewe awe normal? Huenda ni mgonjwa, Huenda ana stress, Huenda hata huyo mama ndiye chanzo cha ku decline arousal au nguvu za mumewe psychologically.

Wanawake wa karne hii usiwaamini sana. They always fighting for Men's power against Men.
 
Pole yake sana...

Kufanya mara nyingi bila mpangilio ni utumwa, kutokufanya kabisa ni unyanyasaji... kwa wanandoa...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom