Sheria aisemi Wana ndoa wafanye hilo tendo Mara ngapi kwa siku,wiki,mwezi au mwaka.
lakini kunyimwa tendo la ndoa bila sababu za msingi ni unyanyasaji na ukatili (cruelity)
Yeye huyo katumia jitahada zipi kulipata hilo tendo au kumsaidia mumewe awe normal? Huenda ni mgonjwa, Huenda ana stress, Huenda hata huyo mama ndiye chanzo cha ku decline arousal au nguvu za mumewe psychologically.
Wanawake wa karne hii usiwaamini sana. They always fighting for Men's power against Men.