SoC03 Sheria zikifuatwa, haki inakuwepo

SoC03 Sheria zikifuatwa, haki inakuwepo

Stories of Change - 2023 Competition

Neema sedoyeka

New Member
Joined
May 19, 2023
Posts
1
Reaction score
2
Kama tunavyofahamu, nchi haiwezi kujiendesha yenyewe bila sheria. Sheria ni msingi wa Kila kitu. Sheria huleta amani, utulivu, ujenga haki na usawa, urahisisha utendaji wa majukumu ya kiuongozi, usaidia kutatua migogoro, inalinda haki ya kila mtu, inatusaidia kujua mipaka ya kimadaraka na mengine mengi. Hivyo sheria ni kiongozi mkubwa Katika nchi yetu na taifa Zima.

Lakini zipo sheria ambazo zimewekwa, lakini hazizingatiwi. Watu wengi wamekua wakiteseka, kwakutojua haki zao. Na hii inasababishwa na sheria zingine kutofuatiliwa kwa ukaribu.

Mfano sheria za unyanyasaji wa kijinsia. Ombi langu kwa serikali, kiundwe chombo maalumu kwaajili ya ufuatiliaji wa kuhakikisha Kila sheria inafuatwa.
 
Upvote 4
Back
Top Bottom